Recent content by Nyagana

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu solar powerbanks

    Wakuu nilikuwa nauliza hivi hizi solar powerbank zinafanya kazi vizuri ukichaji na jua,nisaidien nisipigwe
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia Ackson kupokewa Dar kwa shamrashamra, ni baada ya kulisimamia bunge vyema

    Usiseme wananchi kwa umoja wenu sema ccm kwa umoja wenu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wabunge ndio wana haki na kinga ya kujadili utendaji wa serikali bungeni, sio wananchi

    Tuna uhuru wa kujadili mwenendo wa serikali yetu bils kuvunja sheria
  4. N

    JamiiForums Tanzania Benki zaanza kuwakamua Watanzania kwa kuongeza kodi (VAT) ya 18%

    Kwa sasa mfano CRDB muamala mmoja wa ATM wanakata 800,tafuta 18% ya hyo pesa ambayo ni 144,kwa hyo kuanzia trh 1july muamala mmojs kwa ATM watakata 944.Hilo ongezo ni kwa huduma zote za kibenk zenye makato mfano uendeshaji wa account,simbanking na ATM.
Back
Top Bottom