Recent content by nwankoe

  1. N

    JamiiForums Tanzania The United states is not united but one group is, and that is jews group

    After the fall of Jews in the US, the Palestinians will take over!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Israel na Hamas wakubali kusitisha mapigano eneo la Gaza

    Uwezo wa hamas,Hizbullah na ,Iran umeporomoka sn kuweza kuisumbua Israel. Pis anguko la Assad ni kutokana na athari za vita vya Gaza. Israel imeweza kudhoofisha maadui na kuwafanya wafikirie upya jinsi gani ya kupambana na mayahudi. Mwisho kabisa,Nada ya vita viongozi wengi wajuu wa hizbullah na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Biden: Ningepewa nafasi ya kugombea ningemshinda Trump. Najuta kukubali kujiondoa kugombea

    Kosa haikuwa kujiondoa kwake,naona kosa lake ilikuwa kujiondoa na kumpdekeza MTU. Angeondoka tu then chams kikaamua kunzisha mchakato wa kumpata mkimbiza mwenge mwingine aliyekuwa bora
  4. N

    JamiiForums Tanzania Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

    Mbona hizbulah hawrushi tena makombora huko Israel ili kuwasaidia Hama's. Nasrallah kishaliwa kichwa Hi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu kikosi Cha Quds hajulikani alipo. Mara ya mwisho alikwenda Lebanon baada ya kifo cha Nasrallah

    Hao jamaa huwa wanaweka messiles hata msjid
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

    Macron anataka silaha wapewe Hizbullah
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

    Kwahiyo wakiweka vikwazo maana yake apigwe na maadui zake
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel, IDF limemuua Mkuu wa Hamas nchini Lebanon Fatah Sharif, mke pamoja na watoto wake

    Ulitaka wafanyeje,,Mikati anakwambia option pekee walonayo ni diplomacy/majadiliano
  9. N

    JamiiForums Tanzania Iran President says the U.S. and E.U. lied to him, that if Iran delayed response to Haniyeh's assassination,a ceasefire in Gaza would be reached.

    Itakuaje Iran akilipiza kwa makombora kisha yote yadakwe Kama awali. Au watasherehekea kuwa wamerusha makombora kadhaa Israel
  10. N

    JamiiForums Tanzania Netanyahu ajeruhiwa na makombora ya Yemen Airpot

    Itawachukua muda kuielewa nguvu ya Israel
  11. N

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

    Wakae wazungumze,mapigano hayasaidii
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

    Ilileta madhara gn
  13. N

    JamiiForums Tanzania Israel yalipua ghala la silaha za Hezbollah lililojengwa kwenye makazi ya watu

    Naona kama mbinu ya Hama's na Hizbullah kuwatumia watu Kama ngao zinafanana.
Back
Top Bottom