Mungu amemuumba mtu na free will kwa lengo la kumwonyesha ukweli wa mambo ulivyo au utakavyokuwa katika hayo mambo anayochagua au atakayochagua.
Uchaguzi wetu ndio hatima yetu. Kama tunachagua ubaya kwa mfano, hivyo ndivyo hatima yetu inakuwa. Lakini Mungu anaweza kuingilia.
Kila kitu...
Kwenye moja ya maelezo yangu nilikuuliza hivi: una jua kazi ya sayansi au kwa maneno mengine, sayansi inashughulika na nini.
Na hapa nitaka kukuliza, Je! Unajua imani inashughulika na nini?
You are a kind of such person who can't understand which is which.
I wanted you to define both subconscious mind and unconscious mind but you defined one, unconscious mind.
This imply that you have something wrong in your understanding.
Kadiri asilimia zinavyokuwa kubwa katika jambo fulani, katika msingi wa sayansi ndivyo nafasi ya kutokea kwa jambo hilo inakuwa kubwa. Lakini hali hiyo haihalalishi kuwa ndivyo mambo yatakavyo kuwa.
Kwa hiyo kama unafahamu kazi ya sayansi usingeuliza jambo hilo.
Kuna ufahamu wa kawaida (Reasoning) na kuna ufahamu wa kina ( subconscious mind).
Huu ufahamu wa kina ndio unawasiliana na infinite intelligence. Kwa hiyo imani ndio njia inayowezesha ufahamu wa kina uungane na infinite intelligence.
Hii unalosema hapa ni suala la sayansi wala halihusiani na imani.
Kwenye maelezo nimekwambia ujifunze nini maana ya imani.
Kumbuka wewe ndio umejenga hii hoja hivyo nilitarajia kuwa unao ufahamu juu ya imani.
Nafikiri hujaelewa maana ya imani. Mifano yote uliyoitoa haiendani na maana ya imani.
Kwa mfano, kwa namna gani taarifa ya mamlaka ya hali hewa iwe imani? Imani haishughuliki na mambo kama hayo ulioyatolea mfano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.