Habali zenu wadau
... Naombeni msaada mimi huwa naisi mtikisiko mwilini mda mwingine tumboni kwenyekigimbi ,mikononi na niakapo asubuhi misuli inaniuma sana na inakuwa ya kijani ila baadae hupungua kidogo ukijani wa kwenye misuli hasa mkononi
.... Inaweza kuwa nina ugwanjwa gani na unasababishwa...
Majibu ya damu ni (11•5) .. Majibu ya BP ni (100/60) ... Sina HIV,Malaria,taifod ila angina nimeambiwa chembe imeoanuka sijàjua chembe ipi sasa ila ivo
Wadau naombeni msaada wenu jamani....
Mimi nasumbuliwa na maumivu mbavuni na muda mwingine naskia kama mfano wa kupeuwa ndani kwa ndani upande wa kushoto na maumivu kwenye kitovu na kichomi tumboni mpaka mgongoni .. Nimepima damu nimeambiwa ipo( 11•5 gl ) na presha ipo ( 100/60 ) .. msaada wenu...
Wadau mm nashida nanaomba unisaidie japo kwa ushauri n.k
Mm ni Kijana mwenye umri wa miaka 19 na Kwa majina Naitwa Nuhu ninasumbuliwa na maumivu ya kichwa upande mmoja , kikohoz cha muda mrefu, kichomi kwenye tumbo na kifuani upande wa kushoto, nahisi uvimbe chini ya kwapa upande wa kushoto...
Wadau me nasumbuliwa na mbavu zinanibana sana na siwezi kupumua vizuri nimepiga x-ray hakuna tatizo muda mwingine kiungulia kikali na tumbo kujaa gesi na kichomi upande wa kushoto mbavuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.