Recent content by Nuel27

  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Na kwa nini yote hayo yatokee kama mhusika ana haki ya ushindi 😂? Kwamba TGB na Pigabet wajinga sana mpaka wapoteze muda wao kukaa na mtu asiyestahili kulipwa?
  2. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Eti hana ushahidi kwa hiyo hizo screenshot amezitolea wapi? Unadhani hao bodi wangethubutu hata kumsikiliza kama hana ushahidi?😂🙌 Utetezi wako dhaifu sana bro acha kutetea dhurma
  3. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Una uhakika gani? Je kama aliscreenhot mapema kama ushahidi wa lolote linaloweza kutokea? Halafu kumbe hujaelewa mtoa mada anazungumzia kufutwa kwa mkeka baada ya kushinda na sio wakati game zikiendelea
  4. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Umejibu hoja mbili mie nimeuliza 5 , halafu mbona unakwepa sana jibu la kwa nini wanamuomba wamlipe milion 3 mbona haujibu 🙌
  5. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Sasa kwani mwakilishi wa kampuni alikuwa anamuwakilisha nani? 😂 Em kubwa serious basi mkuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Msingi wa hoja yako sio sahihi kwa mtoa mada kwa sababu wewe ulikimbilia kumuattack badala ya kuangalia muktadha upande wake upoje Muktadha kwake ashasema walikubali kumlipa lakini kwa kiwango pungufu bila sababu za msingi ambacho kwake bado anaona sio sahihi, huoni kama mpaka tayari hoja zako...
  7. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Iko wazi mbona ,Unadhani hiyo kampuni watumiaji wake wanaweza fikia hata robo ya watumiaji wa betpawa nchini? Ziko wapi m-bet ,sokabet ,meridianbet?
  8. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Yeah na hili ndiyo jawabu muhimu kuliko makisio uliyokuwa unakuja nayo wewe .Ndiyo maana nikasema "hoja zako ni sahihi kwenye muktadha usio sahihi"
  9. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Halafu mbona iko wazi kampuni uchwara zinajulikana Ndiyo maana ukiuliza watu wanaobeti kuhusu kampuni zinazoaminika huwezi kukuta kuna mtu hata mmoja kataja hiyo kampuni yako uchwara . Watakutajia 1. BetPawa 2. Betway 3. Sportybet 4. Sportpesa 5. Premierbet
  10. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Kampuni yako imekaa kitapeli ndiyo maana haikui kila siku iko palepale
  11. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Ni vile sio mwanasheria ,but naamini wadau wengi tumeshauri atafute jopo la wanasheria na mawakili akifata ushauri atapata stahiki yake Na wewe mbona umetoa jibu la swali moja wakati nimeuliza matatu hayo mbona hujayajibu 😂 Ngoja nirudie labda hukuyaona Anyway sasa jamaa wanataka wamlipe...
  12. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Kwenye Janja hawajaanza leo 😂🙌
  13. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Wahuni wengi sana mkuu wakiongozwa na anaewapa leseni TGB
  14. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Ndo maana nikatetea utetezi wangu kuonesha kuwa kampuni ina janja janja nyingi na ukurupukaji . Hiyo kampuni yako ilikuwa inafikia kipindi mtu unadeposit hela leo ila inaingia keshokutwa tena baada ya kupiga sana simu customer service Inshort Bongo kampuni uchwara kama hizi zinajulikana
  15. N

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Anyway sasa jamaa wanataka wamlipe mililion 3 ili iweje? Na kama kuna hivyo visababishi kwa nini bet ilikuwa won na hakuna pingamizi lolote walioliweka? Kama kakosea kwa nini wanambembeleza ? Inshort jamaa akitumia wanasheria nguli hiyo kampuni yako ya janja janja mtamlipa fidia kubwa mpaka...
Back
Top Bottom