Recent content by Ntyeka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya pili pili hoho sokoni

    Napenda kujua bei ya pili pili hoho sokoni maana mi ni mkulima na bado sijajua bei kamili ya kilo au gunia la pili pili katika masoko mbalimbali watalamu naomba msaada wenu Wa kuweza kujua na soko kamili kuwa liko wapi? Asante
Back
Top Bottom