Recent content by NTWA MWIKEMO

  1. N

    JamiiForums Tanzania Balozi wa USA nchini amtaka Rais Magufuli achukue hatua zaidi ya kuwaachia Mbowe na wenzake

    Ushamba wa huyo Balozi: Zitto Kabwe kwa Kigoma aliweka Mawakala kila kituo na Walifika Alfajili na walikagua Mabox ya kuwekea kura halili zilizopigwa wakajilidhisha kwamba mabox yapo salama na walimweleza Zitto kuwa Mazingira yapo salama na alikubaliana nao na akihojiwa na waandishi wa habari...
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

    Hao dawa yao ni kuwatandika fimbo na kifungo cha Maisha. Akili zao zinaendeshwa na Matako ya akina Zitto Kabwe, Tundu Lissu n.k.
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

    As a Tanzanian, 5Again JPM kiboko ya wezi wa Rasilimali za Watanzania
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

    Hata ufanyeje JPM amewashika pabaya Wezi wa Rasilimali za Watanzania nyie
  5. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

    Sijawahi kuwaamini ACT wazalendo, kwani ni wa kukurupuka.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ACT Wazalendo Kigoma Mjini kwawaka moto

    Tuwakumbushe akina kinyongo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni ya Jioni hii kutoka AccessNow. Tunapigwa kila pande ya Dunia, Mungu atusaidie

    Kwani ya kwao na Corona wameyamaliza. Itawabidi waendelee kujifunza kwetu namna Bora ya kutunza amani na mshikamano wa Kitaifa. Na Wanatakiwa wa faulu kupambana na hali yao ndo waje kwetu
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arusha kuwa kama Calfornia ni kichekesho na mzaha mkuu

    Hata tulivyoingia uchumi wa kati yalijadiliwa hayo ya kubeza. Tanzania Hakuna upinzani kuna upingaji
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua reli iliyojengwa mwaka 1898-1907 Arusha

    Lazima utakuwa kwenye Kampeni za kuhakikisha Ushoga unaheshimiwa. Mimi nitakuwa wa kwanza kumuoa Kaka yako
  10. N

    JamiiForums Tanzania CCM kuweni waangalifu, Chama kimetekwa na serikali?

    Na Uhakiki uliyeandika utakuwa siyo mjumbe wa Kamati ya Makubaliano ya Amstardam (Kuukubali Ushoga), na uhakiki utakuwa siyo uloyekuwa umepewa Rushwa na akashia ili Makinikia yaondoke kwenda Ulaya bila Ukaguzi wa Serikali kujiridhisha, na uhakika utakuwa siyo wewe uliyekubali kwamba wewe ni...
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

    Kigoma kuna Mtu nasikia amechanganyikiwa baada ya mbinu zake kuvulugwa. Mkakati wake ulikuwa ni kutumia fedha kutengeneza nyomi kwenye Mkutano, kwa kuuagiza uongozi wa kata wa Act wazalendo kuhakikisha wanapatawwatu wasiopungua 100 na kila mmoja alipwe hongo kuanzia 5,000 hadi 10,000 . Lengo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

    Zitto Kabwe ambao hamumwelewi hakuna mahali alipoenda kufanya kazi akapaacha salama, yeye kazi yake ni kusaliti tu. 1. Aliitasiliti Chadema na Mbowe. 2. Aliisaliti nchi na Wananchi Wananchi wote. 3. Ameisaliti Katiba iliyoipa nguvu Act wazalendo kusajiliwa na msajili wa Vyama vya siasa. 4...
  13. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    Mimi Mtumishi wa Umma, nipata salary incliment 98,000/=, Mwaka 2016, salary incliment 102000 Mwaka 2017 up to date naendelea kupata. Ubora wake Kiuchumi wa Mtumishi: Haijaongeza Mfumuko wa Bei, tofauti na zamani ukiongezewa 15,000 na bei ya kila bidhaa inapanda. Naamini mmenielewa JPM...
Back
Top Bottom