Recent content by ntawi hussein

  1. ntawi hussein

    Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge)

    Nahitaji kuweka crown meno 2 ya mbele gharama zake zikoje na Hosp ipi naweza kupata huduma nzuri
  2. ntawi hussein

    Gharama za kuweka meno crown

    Gharama hizo najua kwa wanaoweka waya ili kupanga meno bt kwa kuvisha jino crown sidhan kama inafika pesa yote hyo
  3. ntawi hussein

    Gharama za kuweka meno crown

    Meno ya mbele yameoza nimeshauriwa nisiyatoe niweke crown ,nahitaji kufahamu hospital nzuri au daktar mzuri kwa ajili ya huduma hyo, gharama zake pia zikoje kwa wenye uzoefu naomba muongozo si vby nikipata na side effect zake
  4. ntawi hussein

    KITUNGUU SAUMU KINA UWEZO WA KUUWA KIINI CHA KANSA YA UBONGO PASIPO NA MADHARA YOYOTE YALE.

    Na je kinasaidia pia kwa mwenye dalili za awali za saratan??
  5. ntawi hussein

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Mbn Mimi attachment zinakataa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ntawi hussein

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Kwa walimu wa fizikia na hesabu waliomaliza 2018 je wanaweza kuapply kwa kutumia transcript mana vyeti havijatoka bado Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ntawi hussein

    Mfumo wa 'Online Teachers Applications System(OTEAS)' upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea

    Jana ucku nilijiregister nikaishia kwenye kuattach cha ajabu mda huu naingia nashindwa kulogin imegoma kabisa na nilibakisha kipande kidogo tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ntawi hussein

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Nimeweka reg# kwangu imekataa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ntawi hussein

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Mimi bado inakataa mpk mda huu imeganda tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ntawi hussein

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Na vya degree mkuu?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom