Recent content by Ntama

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mkapa alia na serikali mbili (2)

    Naona tubaki na serikali mbili ila matatizo yaliyopo tukabiliane nayo kwanza. Kama migogoro iliyopo tu hatujaitatua kwanini tutengeneze matatizo mapya? Au tunahisi yatakuwa mepesi mno? Kukimbia migogoro sio njia ya kuyatatua.
Back
Top Bottom