Njia rahisi ya kufanikiwa kwa watu wasio na uwezo wa kujiongoza wenyewe ni kuongozwa mfanowake naufananisha na Mbuzi au ng'ombe ukimpa uhuru atakula majani hata yale ya akiba ya chakula cha kesho, hvyo anahtaji kuongozwa. Hii ni sawa kabisa ukifananisha na afrika, "Kipofu hawezi kuongoza kipofu...
Inatakiwa kupunguza matumizi kwa kiasi kukubwa ili kipato kifanane na matumizi, ukiangalia hata katika ngazi ya familia huwezi kutumia zaidi ya kipato chako. Kiongozi anatakiwa ajiamini na ahakikishe kuwa anatafuta namna nzuri ya nchi kujitegemea. Utawala mbovu (kushindwa kujitawala) hasa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.