Recent content by nskahisha

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mpinga, Kwanini faini zilipwe barabarani bila Risiti?

    mimi naomba kuuliza hivi traffic akiniandikia napewa risiti tofauti na ile nyeupe anayoniandikia kwenye kitabu maana ninayo ndani nilibambikwa kosa traffic kaniandikia namba yake na jina ninayo nimehifadhi kibaya zaidi alipodai nitoe hela nikamwambia sina anipe nitalipia kituo cha mbele...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mpya wa kuchukua mafao NSSF

    ila hii ni usumbufu uliokithiri tatizo kama ni kuhakiki taarifa wafuatilie wao sio mie kwa sasa nipo dar unaniambia nirudi kigoma kufungua madai hizo gharama na huo usumbufu unauonaje👎👎👎
  3. N

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mpya wa kuchukua mafao NSSF

    Poleni sana ndugu zanguni wenzangu kama mimi leo nimekutana na mapya nikaona sio vibaya nikijaribu kushare na nyie kuhusu utaratibu wa kuchukua mafao. Ni usumbufu sababu nina rafiki yangu alikuwa anafanya kazi mkoa sasa amerudi baada ya mkataba kuisha jana kaenda ofisi ya NSSF hapo mlimani...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme Morogoro na Mikoa mingine

    same here mwanza ni kuanzia asbh mpaka saa mbili ucku ndo jamaa wanarudisha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania ni uozo

    Wana jf wenzangu, Hii kampuni ni uozo tumepata shida since Jumapili tumefika airport tukaambiwa ndege imeharibika Tabora mpaka Jumatatu abiria tukapelekwa K/koo kwenye kihotel bahati mbaya nilikuwa nawahi mazishi Kigoma ikabidi kupanda bus. Taarifa kutoka kwa abiria wamepelekwa hadi airport...
  6. N

    JamiiForums Tanzania sony xperia z inahitajika

    guys nahitaji sony xperia z used iwe kwenye condition nzuri
Back
Top Bottom