Katika miaka ya hivi karibuni, kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi kumeleta mabadiliko makubwa katika mawasiliano nchini Tanzania.
Simu za mkononi zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya Watanzania wengi, zikichochea maendeleo katika sekta mbalimbali kama vile biashara, elimu...
Nimeweka pale kwamba mashine itoe risiti kabla ya matibabu...baada ya matibabu pia mfumo utatoa risiti iliyo na taarifa za matibabu pia karatasi hio inaweza boreshwa na kua ngumu kuliko hizi za awali
Ahsante kwa mawazo yako mazuri🔥🔥🔥
Wizara ya afya imeshaanzisha mfumo huu mwezi wa tano ambapo mgonjwa akipewa rufaa details zake zote zitaenda hospitali anayoenda
Andiko lako ni zuri🔥 kurudia vipimo ni kero kwa kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.