sawa anaetakiwa kujibu ni lowasa au serikali?sababu mkataba ni feki warichmond na tunaemlipa hatumjui kwa mujibu wa dokta.Je huoni kuna haja ya serikali kutuambia tunamlipa nani?na kwa nini mkataba feki mpaka sasa bado serikali ya ccm imekaa kimya?
Ukweli kuhusu Dr.Slaa
AN Chilongola (LLM)
Taharuki imetanda juu ya wapi alipo Katibu mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa. kila mtu anazungumza lake kwa kadri anavyoelewa. wengine wakisema yupo kwenye maandalizi ya vikao vya kamati kuu na wengine wakisema amejificha kwa sababu hakubaliani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.