Napendekeza serikali moja katika tatu kama ifuatvyo:
Rais wa jamuhuri ya muungano awe na makamu wawili ambao ni Rais wa zanzibar na makamu wa kwanza wa Rais wa jamuhuri ya muungano, Rais wa Tanganyika na makamu wa pili wa Rais wa jamuhuri ya muungano, Rais wa Zanzibar na makamu wa...
Nkisema ligi sina maana ya wewe kupeleka hisia zako kwenye mpira tu,namaanisha fikra zako zifikirie kitu gan kina fata baada ya majesh ya vyama vyetu kukomaa na kujiimarisha kijeshi. Kwa sasa tumefikisha makundi mawili ya kijeshi yaani la CCM na CHADEMA,tukiendelea kusubiri mengine kujipanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.