Mh! Mbona sijawahi usikia huyo Nabii akijiita mtakatifu! Mimi jamani jinsi ninavyomjua Mungu! Hapa duniani nitarithi kila kitu, magari, majumba, furaha kila kitu na zaidi sana mbinguni. Mungu hajali ninaitwa nani! Kumbe niwe maskini wa kutupwa ndio mjue kwamba nina Mungu! Kwa taarifa yako...