Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
Shukrani mtaalam kwa ufafanuzi wako, samahan namba zako za simu tafadhal mimi hili tatzo linanisumbua linanisumbua sana nna miaka 4 sasa nna huu ugonjwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.