[Ni vigumu kuamini kwamba Deni la Taifa limekua kwa kasi ya kutisha kutoka Sh10 trilioni mwaka 2005 hadi Sh29.4 trilioni Januari mwaka huu.
Halafu mnakaa kushabikia ujinga, talk about the destination of our nation sio swala la kuwahonga masikini ili kuhamia ccm halafu watu wajinga wanakaa...
Hivi Tanzania tu wakweli na tuko serious enough kutaka kuuondoa umaskini kwa wananchi wetu, leo Nape Unazungumzia kuwa walioanza na uanzishwaji wa shule za kata ndiyo wanamaliza vyuo vikuu lakini husemi nin asilimia ngapi ya walioanza na wangapi ni waendesha boda boda na wengine wangapi...
kwa hiyo Serikali inajua wanaoforge vyeti lakini haiwashughulikii, hiv tuna mazingira gani Waziri wa Nchi anatamka kuwa wapo hata wabunge walio na vyeti feki lakini wameachwa regardless yuko chama gani kwa nn wasichukuliwe hatua. ndo yale yale ya majina ya madawa ya kulevya na majangili wa tembo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.