Kama kunamtu hafai kuigwa basi ni Lisu maana historia yake mwanzo mwisho ni ukorofi alafu Gwajima hakutupwa na Familia yake fuatilia Historia vzuri na kila jambo linalotokea kwenye maisha linasababu aliishi msikini kwa sababu pia hvyo usimuhukumu mtu kwasababu ya historia ya maisha yake we...
Kwan Gwajima ndo alikuwa anagombea urais na Lisu nawashangaa kwanini mnachukia hvyo mtu ambaye hajawahi hata kukutana nawe chuki za nini eti Yan kumsifia Rais kwenu kero sasa mnataka nini yan
Chadema mmebwekaa wewe sasa naona mmetulia [emoji1787][emoji1787]ziko wapi mbwebwe zenu za maandamano mmebaki kupiga kelele kwenye mitandao poleni sana nyie endeleen kubweka Tanzania inasonga mbele asiyetaka aame nchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.