Recent content by Nomad23

  1. N

    JamiiForums KERO Watumishi wapya wa RUWASA tulioajiriwa Septemba 2025 hatujapata mafunzo elekezi wala fedha za kujikimu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto zinazotukabili watumishi wapya tulioajiriwa katika Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuanzia Septemba 2025 hadi sasa. Tangu tulipoajiriwa hatujapokea fedha zetu za kujikimu, huku pia hatujapatiwa mafunzo elekezi...
Back
Top Bottom