Recent content by Nom14

  1. Nom14

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Miaka kumi sasa nanuka mdomo dawa mbali mbali nimetumia sana kienyeji pia za hospital mouthwash mswaki naujua sana meno meupe sana lakni hali bado tete kama kuna mtu alishawahi kupata hili tatizo na akapona basii nahitaji msaada pia hospitali gani bingwa ya kinywa naweza pata tiba ya vizuri...
  2. Nom14

    JamiiForums Tanzania MSAADA/ USHAURI mdomo kunuka

    Nimetengwa na jamii kisaa nanuka mdomo jamanii hta nipige mswaki kila saa bado mdomo unanuka nmejaribu dawa nyingi lkn hakun nafuu cijapona naombeni msaada ndugu zangu wapi nitapata tiba sahibi
Back
Top Bottom