Hapo kwa nionavyo mimi kuna mambo mawili
1) Labda fedha ni za mfadhili ambaye kaweka condition ya namna hiyo.
2) Labda zabuni ni ya kimataifa (yaan international competitive tendering) ambayo unatangaza zabuni kwa ajili ya wazabuni wa nje na ndani kwa kutumia njia mbalimbali mfano Magazeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.