Recent content by No10

  1. No10

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kusave pesa yako

    Unaiweka wapi kwenye usalama huko
  2. No10

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kusave pesa yako

    Nimenukuu hii ni ngumu ila ni nzuri na inatija ukiizingatia
  3. No10

    JamiiForums Tanzania Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

    Ndo ukubwa mkuu ukiwa duniani changamoto hazina budì kutokea
  4. No10

    JamiiForums Tanzania Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

    Ndio mwanamke Ndio kazi kubwa anaitegemea
  5. No10

    JamiiForums Tanzania Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

    Ni kweli ndo maana nimekuja kupata ushauri
  6. No10

    JamiiForums Tanzania Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

    Sasa inapotokea anahitaji msaada wa mahitaji nini tufanye
  7. No10

    JamiiForums Tanzania Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

    Mimi niko kwangu najitegemea na nina familia yangu
  8. No10

    JamiiForums Tanzania Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

    Kaka tumepiga mikwara ila cha ajabu kaondoka nyumbani kaenda kwa mganga Leo siku sita,
  9. No10

    JamiiForums Tanzania Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

    Hapana mimi niko na maisha yangu na familia yangu ila hii Hali inatuumiza
  10. No10

    JamiiForums Tanzania Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

    Asanteh mkuu nimepokea ushauri
  11. No10

    JamiiForums Tanzania Mama ana rafiki yake ambaye ni mganga wa jadi sasa ndiye anayetoa maaumuzi ya kila kitu

    Kwa sasa kiongoz ni mimi bandage mzee kufariki, Kuhusu kipato nina namshukuru Mungu familia inapata mahitaji ya msingi Wadogo zangu wawili wakike waolewa mmoja yuko chuo kikuu arusha anamaliza mwezi ujao na mmoja yuko anajihusisha na kazi za ukopesha kwenye microfinance hizi za mtaani Mama...
Back
Top Bottom