Mkuu hii kama itakupendeza twende kazi. Nyumba ni Unfinished house iko Njiro Corona Block J,karibu na Chuo cha Veta na Atomic. Nyumba ipo kwenye kiwanja cha 25 x 25 Nyumba ni kubwa, ina vyumba vitatu, viwili ni master, ina study room na vingine. Hakuna hati ila kina offer number. Inauzwa mil 50...