Ice Hockey
Sportybet
Nimebadili option kwenye mkeka mmoja.
Unaweza kustake mikeka yote halafu ika boom mikeka kadhaa na ikawa sherehe, pia unaweza kulost mikeka yote[emoji1][emoji1]
Jana niliziamini Lille na Atletico Madrid , lakini zikaniachia manyoya.
Leo tena ngoja nione mambo yatakuwaje
Sportybet
Odds 2.7
Code: 54FX2K
Kifungashio cha NBC PREMIER LEAGUE
Sportybet
Odds 2+
Code: 15D413
Sawa mkuu.
Kwa leo nina hii mikeka 2 ya odds 2 Sportybet
Code: D03F3B
Code : 0F17C0
Ila sijastake kabisa stake niliyoweka ni ndogo kabisa, ila wewe unaweza kujilipua.
Options nilizoweka ni 1st half under 2.5 na over 0.5 kwa timu mbili tu.
NB: Huwa nachagua timu ambazo hazichapani magoli...
Uko sahihi kabisa mkuu, hata huyo jamaa niliyemtaja hapo analost na kuwin kama ilivyo desturi ya kamari, huwa nafuatilia odds zake
Lakini intention yangu ni kuwa hii kitu inataka mtaji mkubwa halafu ukitafuta hizo odds chache za uhakika inakuwa na chance kubwa ya kuboom ukilinganisha na odds...
Huu uwekezaji kutoboa inawezekana ila shurti uwe na mtaji.
Tafuta odds zako 2 za uhakika, weka kibunda cha kueleweka, subiri kuboom
Ona hizi stake za huyu jamaa wa kuitwa GWISA PUNTER kule Twitter, anatafuta zake odds 2 anaweka kibunda cha maana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.