Habari zenu wana jf? Hivi ni kweli kuwa ada ya chuo kikuu cha kampala nchini Tanzania imepungua hadi kufikia laki nne kwa semester? Je kwa mwanafunzi anayeanza degree ya ualimu anatakiwa alipe kiasi gani kwa mwaka? Msaada wana jf.
Ndugu wana jamii wenzangu hasa wale wanaosoma open university degree ya ualimu naomba mnijuze ada kwa mwaka mmoja ni kiasi gani kwani nataka kuomba nafasi.Naomba msaada wa taarifa sahihi ndugu zangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.