Recent content by NJAKIHUTIKO

  1. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika kuhusu kifo cha Sokoine kwamba Nyerere alihusika au alifaidika na kifo hicho

    Ndo kizazi hiki kilichokuwa kikipambana na Whites (Colonialists)....Hiki kizazi cha leo hata kupambana na Blacks wenzao Kimeshindwa....
  2. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wanakuja kunikamata, siogopi chochote. Nilishapigwa risasi sembuse kukamatwa?

    Acha Ukanda huyu Mwamba Legacy yake ni International wise.
  3. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania Swali kumhusu Lissu lamkera Katibu Mkuu DP

    Huyu Kiongozi ana shida ya kutaja miaka Mfano. Alisema sasa hivi ni 2020, anasema Mfumo wa vyama vingi ulianza 2012...
  4. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

    M Umemtendea HAKI MNYIKA....huyu Bwana ni GIFTED..... Never take him easy.....
  5. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao

    Ameona aungane na Mkuu wa Nchi kuonesha Masikitiko.
  6. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mna uhakika CHADEMA ikishika dola italeta utofauti wowote?

    Issue siyo kubadilisha Viongozi/ Wanasiasa Suala ni Kubadilisha Mindset za jamii (UELEWA).....Wanasiasa hawa lao moja....(KUTAFUNA NCHI). Walioko Upinzani walikuwa CCM, waliopo CCM walikuwa UPINZANI....Anayeitwa FISADI leo huko CCM, kesho atapokelewa UPINZANI....Anayeitwa KAMANDA leo huko...
  7. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sasa Chawa wa kike wanajiita dodo lililoiva!

    COVID 19
  8. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania CCM yaitisha Kikao Kizito Maalumu cha kamati Kuu

    Kweli hujasoma vizuri, rudia tena.
  9. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Waziri wa Elimu Mstaafu Mzee Nazar Nyoni afariki dunia

    Classmates zako hao wamefiwa na baba yao, watafute uwape pole....mkuu Huwa nalikumbuka tu swali lako kwa mwendazake....
  10. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

    Basi ulikabidhiwa ww....Over .
  11. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania Manji kuzikwa Marekani kumedhihirisha kiwango kikubwa cha ujinga. Tuna safari ndefu kama nchi katika katiba na elimu ya uraia

    Kuna mtu alikuwa BOT aliitwa BALALI naye alizikwa huko huko...
  12. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania Mambo niliyogundua kutokana na maandamano nchini Kenya

    Namba 4. hiyo ipo vizuri sana Kenya...Huku kwetu wapo Bize na Mapiano, Mondi, Crown, Konde Gang n.k
  13. NJAKIHUTIKO

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Mpaka DW imerushwa hii
Back
Top Bottom