Recent content by njaakalihatari

  1. N

    JamiiForums Tanzania Singida Big Stars mpeni timu Kocha Zahera

    umewahi tu kuandika ila haizidi week 2 Zahera anapewa Singida Stars
  2. N

    JamiiForums Tanzania Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

    huamini? hata mwanyeto na job wanawaweka nje onyango na inonga, yanga inatisha mnooo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

    naunga mkono hoja hata kukaa jukwaani inabidi afikiriwe sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    kwa hiyo uzi wangu unadhani nampinga mgunda au nataka awe treated kwa heshima kama yale mataahira ya kizungu yanyokimbiaga hovyohovyo na kusambaza majungu kwa makanjanja ya nje ya nchi?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: UHUNI: Yadaiwa Kambole yuko Kigamboni anarejea Januari, dili lilichezwa na TFF

    egh aiseeee hii ya kambole kali kwa kweli, duh ikabidi karia naye ashiriki huo uhuni
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: UHUNI: Yadaiwa Kambole yuko Kigamboni anarejea Januari, dili lilichezwa na TFF

    Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa! "Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

    imbecile
  8. N

    JamiiForums Tanzania Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

    si wanaongea french pia kule
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    mara ya kwanza walituma sana yule wa horoya wa zamani, yule wa team ya taifa ya ghana wa zamani baadaye walivyogundua shobo mdundo lipo kwa ngozi nyeupe wakaacha ndiyo maana siku hizi utasikia wooote waliiiooomba ni wa ulaya
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    maoni yako yaheshimiwa so jitahidi kuheshimu ya wengine pia
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    alaa kumbe kishingo alikimbia hadi wapiga majungu wa mtandaoni kina sisi?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    maneeno meeengi, hizo taarifa za funika kombe mwanaharamu apite zinazotolewa mtu akidakwa juu kwa juu katoka kucheki mechi taifa ,kama wako serious wamtambulishe kwa heshima kama wanavyofanya kwa makocha wenye ngozi nyeupe Mchakato umesitishwa THEN WHAT? bado wanamuangaliangalia kama anafaa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    Acha uongo kama ni hizo interviews na vi ONLINE tv vya wenye laptop moja na microphone moja na bando za 10,000 ... mara kibao anasema kwa sasa itambulike mgunda ni kocha mwenye mkataba taarifa rasmi itatolewa hakuna press release rasmi ya kusema mgunda ni kocha mkuu, ACHA UPOTOSHAJI
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    sasa huoni umewatukana watu wa ndani wa simba unaosema walifanya majungu kishingo akakimbia ghafla?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kama fununu za Sven kurudi ni kweli basi ni aibu sana kwa CEO Barbara

    amen na iwe hivyo
Back
Top Bottom