Recent content by Nivlark

  1. Nivlark

    Eastafricans

    Wapi wale watu wa economics watupe uelewa zaidi
  2. Nivlark

    Eastafricans

    Nigeria and Ghana central banks have initiated launching of digital currencies, what could be the impact of having an east african digital coin serving the larger eastafrican region. Your views guys an open discussion.
  3. Nivlark

    Progress ya Nairobi expressway

    Its happening
  4. Nivlark

    Kikosi maalum cha makomando wa KDF chawasili DRC

    Hehe wanaume wa kujisifu wakiwa chini ya kitanda
  5. Nivlark

    Progress ya Nairobi expressway

    Tuliza jazba
  6. Nivlark

    World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

    Wacha kuhamisha goli kisa kua umechengwa eleza jinsi picha ulioiweka hapo juu inavyo wiana na takwimu.wacha blah blah za kanipiga kisa kua sikua nimevua shati
  7. Nivlark

    World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

    Hoja zikikutoka kichwani sasa ni kukurupuka na picha.Basi Naibu Rais Ruto kapigwa picha na bibi kama kashikilia bakuli.hii ina uhusiano gani kitakwimu na mada?Itabidi sasa tuwe tunatumia kiswahili maana naona kiingereza kimemewazidi si siri
  8. Nivlark

    World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

    Middle income inamaanisha nchi zenye uchumi wa kati.Wangetaja nchi za walalahoi yaani basi hapo ndipo Watu Wa makoroboi wangetajwa
  9. Nivlark

    KPA is sending used equipments to Lamu port

    Tunangoja vifaa kuu kuu pia visafirishwe kutoka Dar Kwenda Bwaga moyo most advanced largest Port
  10. Nivlark

    Ethiopia deal earns KenGen Sh440m

    How much in Tanzanian currency? Tulia dawa itembee mwilini
  11. Nivlark

    Activist Edwin Kiama taken to court on cyber crime offences

    Haya naona una uelewa mzuri wa mikopo hadi unafahamu 64% ya PLT imo mifukoni mwa watu binasfi. Haya tueleze taratibu za kupata mkopo wa Kimataifa Kwa taifa na hatua inazopitia ndio wote tuweze kujadili kutokana na mtazamo utakao tupa
  12. Nivlark

    Activist Edwin Kiama taken to court on cyber crime offences

    Aisee mambo ya mtandaoni yasije yakakuminya roho ukakata uhai yachukulie juu juu kama kuna jambo muhimu la kujifunza basi, mengine achia mbali. Kama matamshi ya wakenya yanakukera kiasi hiki mtafute Col.Cyrus Oguna ndio msemaji wa serikali ya kenya natumai atakutuliza.Ila sheria ni sheria Uwe...
Back
Top Bottom