Recent content by nivlac

  1. nivlac

    JamiiForums Natafuta mwl wa python language. Nipo kigamboni.

    Nmekusoma mkuu..hapo umenipa intro sio? Maana naona hii ni simple kimtindo haina semicolon nyiiiingi kama kina c++
  2. nivlac

    JamiiForums Natafuta mwl wa python language. Nipo kigamboni.

    Habari wana JF. Mimi ni mkazi wa Kigamboni ninajishuhulisha na web design. Nina idea ya programming kama html, css, php na kwa mbali kama C. Nmetokea kusikia kuhusu python lang. Natafuta mtaalamu mwenye ujuzi anipe mwanga zaidi maana nimedesa online naona mambo bado hayajakaa sawa. Ni pm ujuzi...
Back
Top Bottom