Habar km kichwa cha habar kinavyojieleza. Mm ni mdada wa miaka 22 natafuta eneo lenye mzunguko wa watu especially wadada tafadhali kwa alieona au anaefaham sehem kama hiyo tafadhali nsaidie tuwasiliane katik namba 0719639811.asanten sana
Mimi Ni Binti wa miaka 23 natafuta kazi katika maofisi nifanye km secretary,receptionist au office attendant Nina experience kama office attendant miaka 4. Tafadhal mwenye connection naomba tusaidiane wapendwa hta sales pia nitafanya km itapatikana kwa mawasiliano yang plz naomba nipm asanten sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.