Recent content by nitta

  1. N

    JoCUKo

    ww flyn ryder...unajishauwa coz upo mjini eeh na chuo chako cha "ardhi...."!!!!!!!
  2. N

    Nacte haoo

    nashindw kuelewa tatizo liko wap jmn...nacte kwnn cc jmn
  3. N

    For those under diploma cas you can check your selections......!!!!!!!!!!!

    k....hongr bna mim bado cjajua chuo gn naenda ila nilikuw nimeandikiw ardh sasa cjui ni nin tatzo majin hayaonekn kweny list
  4. N

    For those under diploma cas you can check your selections......!!!!!!!!!!!

    hey sorry mim ni nitta mdada sio kaka sawa eeeh
  5. N

    For those under diploma cas you can check your selections......!!!!!!!!!!!

    Abuukach.....mban inaonyesha wew umechaguliw SUA BACH SCIE.IN AQUACULTURE ndo walivyo alindik ingia website ya hicho chuo uangalie lkn nacte inasem hicyo....asubh njma
  6. N

    Nalia na nacte....

    kuna majina ambayo yamekuwa rejected kweny vyuo walivyo watumia na hawatoi feed back watu wajue...elimu ya tanzania ni full stress...OOH LORD WATCH US THROUTH THIS
  7. N

    selected students ARU

    jamn naomb kuuliza kuna mtu kati yenu aliye omba ardhi kutumia matokeo ya diploma na ameona jina lake....??
  8. N

    For those under diploma cas you can check your selections......!!!!!!!!!!!

    duuuh...ila lets be petient....tusiwaze sana tutapata...
  9. N

    nshaanza kupata mashaka na hiki chuo.

    vip kwan ulipata course gan pale ?? mim ni Bach.scien in RDP
  10. N

    nshaanza kupata mashaka na hiki chuo.

    duuuh....man of steel....yan unamawazo kama yangu ....ila leo nimejaribu kupiga simu wamesema kuwa watatoa majina week hii ngoja tuendelee kuwa nasubira
Back
Top Bottom