Recent content by nipopale

  1. N

    Kuita IFM, DIT, NIT na CBE kama vyuo ni makosa makubwa sana

    Binafsi nimesoma Chuo Kikuu lakini nina akili zangu timamu. Kusoma University au kusoma Insitute hakuwezi kukufanya uwe na akili kama huna akili. Wanafunzi wa university wengi wamejengwa katika msingi wa kwamba wao ndiyo top lakini ukweli ni kwamba hawana hata akili. Hebu niambie kusoma kwako au...
  2. N

    DOKEZO Ubaguzi katika baadhi ya vyuo vikuu Tanzania

    Kukidhi vigezo gani tena kama Utumishi wamempeleka mtu halafu unamwambia amekosea njia. Yaani utumishi waniajiri halafu useme sijakidhi vigezo
  3. N

    DOKEZO Ubaguzi katika baadhi ya vyuo vikuu Tanzania

    Kabla sijaleta mada yangu kuhusu ubaguzi niliouona katika baadhi ya vyuo vikuu vya Tanzani ninaomba niwaulize swali moja la msingi. Je! kuna tofauti kati ya bacholor Degree ya inayoitwa university na inayoitwa Institution? Je! TCU inazitambua hizi bachor Degree kwa weight tofauti? Mada Kuna...
Back
Top Bottom