Recent content by ninanina

  1. N

    Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Wanaomsema Mareham JPM ni wachache sana, wanajirudia, rudia, sema wana kimberembere na hawataki kunyamaza kuonyesha kwamba hawampendi Marehemu. Lakini kwa nini uhangaike na marehemu, serious! Tukisema Watanzania waulizwe leo wangapi loved na wana-miss JPM, ni 99%. Wanaohangaika na Marehemu ni...
  2. N

    Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

    Wont try to urgue with small mind my dear, your capacity is very low. It is a waste of my time trying to urgue with type of you.
  3. N

    Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

    Agree to disagree, ypu missed Agree to disagree, you missed the oppprtunity with this Royal Tour documentary, a lot to learn from it. No value for money Peter fooled you big time.
  4. N

    Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

    If i did not know TZ, i would not come to TZ because of Royal Tour Documentary. The documentary lacks contents, a lot of tourism attractions have been left out. Where is Lake Victoria, Tanganyija, Nyasa in the documentary? Where is Nyerere, Ruaha National Parks? Where is KatAvi, Burigi, Rubondo...
  5. N

    Kiingereza cha Rais Samia

    Siyo lugha tu, ana uwezo mdogo sana wa kufikiri. No analytical skills at all. Msikilize hizo sekunde chache za Rais Mwinyi, it is day and night na huyu bibi. Hiyo ya Kamala mgombea wa kwanza VP kaisema mwenyewe, haikuwa kwenye speech. But it is very sad Rais anapoonyesha uwezo mdogo wa...
  6. N

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Siku 21 za Maombolezo ya Rais wetu Mpendwa Dr. John Pombe Magufuli yalikamilika siku ya Jumanne, tarehe 6 April 2021. Life goes on kwa Watanzania wengi na sina shaka Magufuli legacy will live on forever kwa taifa hili la Watanzania na kwa wapenda haki wote. Rip Dr. John Joseph Pombe Magufuli...
  7. N

    Iko wapi Pestana pub Dodoma?

    Waheshimiwa, nipo mji wa waheshimiwa weekend hii. Niliambiwa kuna pub/club mpya imefunguliwa Dodoma inaitwa Pestana, iko wapi kwa wale mnaijua Dodoma?
  8. N

    Iko wapi Pestana pub Dodoma?

    Waheshimiwa, nipo mji wa waheshimiwa weekend hii. Niliambiwa kuna pub/club mpya imefunguliwa Dodoma inaitwa Pestana, iko wapi kwa wale mnaijua Dodoma?
  9. N

    Pestena pub ya Dodoma iko maeneo gani?

    Waheshimiwa, nipo mji wa waheshimiwa weekend hii, Dodoma. Nimeambiwa kuna pub/club mpya inaitwa Pestana, kwa wale wenye taarifa, ni maeneo gani? Wanafunga saa ngapi? Asanteni
  10. N

    Pestena pub ya Dodoma iko maeneo gani?

    Waheshimiwa, nipo mji wa waheshimiwa weekend hii, Dodoma. Nimeambiwa kuna pub/club mpya inaitwa Pestana, kwa wale wenye taarifa, ni maeneo gani?
  11. N

    Serikali inajenga miundombinu DSM tu? Kuna SGR, Chalinze Highway, Ubungo, Tazara!

    Wazaramo wangapi wanaishi Dar? Dar ni ya wakuja, na ndiyo wanaoijenga Dar, Wazaramo wamebaki jina!
  12. N

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura siku ya Jumamosi

    Mamake anahusika nini hapa? Kuwa mstaraabu!
  13. N

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura siku ya Jumamosi

    Tulips lugha tafadha Lugha jamani.. angalia kidogo. Huyu mzee wetu hivi sasa katulia, afya imependeza na memory imekuwa nzuri, hebu tumuache. Lakini kwa ukweli, cdm ameichanganya, iko hoi! Wale vijana walikuwa wakiongea ufisadi kwa confidence wamebaki kama mazuzu!
Back
Top Bottom