Recent content by Ninaamini

  1. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Asiwe mubaba wa watu , nataka wa kwangu mwenyewe 🙆‍♂️
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    🤣🤣 sasa hasira usipeleke nyumbani baki nazo huko kazini, ukija nyumbani ni kuenjoy
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Kwani ndoa ni kufa mapema? Siamini ikiwa kuna watu wanaenjoy sana ndoa ,Ninaamini hata ndoa yetu na mwenzangu tutaenjoy pia
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Ndiyo utafaa ila dawa ya madeni ni kulipa ili ubaki na amani
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    You're just real like your name, ahsante kwa hili
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    sawa na karibu kama umetongozeka, tunaweza kutengeneza familia bora
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    usiseme hivyo mimi nipo tayari kuanza familia
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    nina moyo mzuri nwenye upendo kuliko hiyo ngongingo unayotaka
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    ahsante kwa kunitetea, shahada kweli ndiyo sharti gumu hilo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Mbona wewe hujauliza maswali mengine umekumbilia ya kuchezea mboro, unadhani kama wewe umechezea mboro nyingi basi wote wamechezea?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    kuchezea mboro ndiyo nini sijaelewa, ila usihukumu mtu na kumuona mkosaji sana kama wewe ulipata neema ukaolewa mapema mshukuru Mungu.
Back
Top Bottom