Recent content by Nimwene

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Waziri mkuu apokelewa na Vijana wa CHADEMA

    Hapo Rungwe kuna Ushenzi wa Viongozi wa Serikali kuwahujumu Wakulima wa Chai na kuwalazisha wafanye wasichokipenda. PM mulika hao.
  2. N

    JamiiForums Tanzania ‪Jukwaa la Wahariri(TEF) laikemea CHADEMA kwa kuwafukuza Waandishi wa TBC ktk Mkutano wa Tundu Lissu

    Jukwaa lenyewe limekaa kinafki tu. Mbona Star TV na Channel Ten wamekiuka makubaliano yao wala hawana hata Tamko. Vyombo vya Habari Tanzania hovyo kabisa na ndiyo maana Tunadharaulika saana na Majirani zetu hapo Kenya
  3. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Kutiana nidhamu tu, ndiyo tiba!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Kama za Bro tu, maana sijawahi ona akiongea kama ni yeye yupo kwenye Nafasi aliyoopo!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Hayo ni yako Mkuu, usinilishe. Kwani wewe hautakufa, ni Immortal?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Inasikitisha hata kuona WanaCHADEMA Kimya, angalao Mdee anaonesha yupo Strong!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Kenya Sasa hivi Mbona angalau nidhamu ipo!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Inafika Kipindi ndiyo maana hatuwaamini kabisa, ni kama Hawako na Hasira ya Kulikomboa Taifa hili Kiukweli. Eti nao CCM wanalalamika akiwemo bro, haya maajabu kabisa. Kwa hali hii Taifa haliweza kusogea mahali katika hali zote. Wenye Kutaka kutoa Mawazo huru, kila muda Wanakamatwa na Vibaraka wao!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Mwishoe tutarudi kulekule kwa akina K rafiki yake na brother. Unaambiwa Kumuunga mkono ni Lazima ati.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Kwenye Uzi huu, nimewapa Wazo ni wao sasa Kulifanyia Kazi. Nimemwambia Maalim ana watu wengi Nyuma yake, yeye aoneshe Msimamo tu! Vinginevyo, tutakuwa Mafala milele, hii Serikali ipo kama ya akina Fulani vile kumbe ni Nchi ya Watanzania na si CCM, ACT na Watu kama Lipumba.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Mpaka aibu kweli kwa Utawala huu! Nape ndiyo kazikwa kabisa na Bao lake la Mkono, halafu wapuuzi wengine Wanajiona eti wako Salama! Zindukeni, Huwa hawana Marafiki watu anaowasema Lisu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Ilitakiwa waangalie Ustaarabu mwingine ili angalau nidhamu ipatikane!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Lipumba Siyo Mwenyekiti halali wa CUF kumbuka. Acha kuongea kama Umekatwa kichwa!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Nimekuelewa Mkuu, nadhani wachache watakuelewa kama Mimi! Nchi inahitaji Displine hii, Kubeshimiana Muhimu saana!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na wewe peleka majina kwa Spika ya kuwafukuza Wabunge waliopelekwa na Lipumba

    Mkuu, hawakutaraji kama Huyu jamaa angemtumia kama TP hivi! Kumbuka hata CHADEMA Madiwani huko Arusha wananunulia at I!
Back
Top Bottom