Recent content by Nilisema Hakusikia Yule

  1. N

    JamiiForums RC Aggrey Mwanri akagua miradi ya TARURA Tabora, amsimamisha kazi meneja, aunda tume

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amefanya ukaguzi wa miradi ya barabara na madaraja inayosimamiwa na TARURA mkoa wa Tabora, alitembelea miradi hiyo iliyopo halmashauri ya wilaya ya Iguga na halmashauri ya mji wa Nzega. Akiwa halmashauri ya wilaya ya Igunga, RC Mwanri alitembelea mradi wa...
  2. N

    JamiiForums TAKUKURU Mkoa wa Tabora imemfikisha Mahakamani, aliyekuwa Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Mhandisi Mwita B. Joram

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Tabora imemfikisha Mahakamani, aliyekuwa Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Mhandisi Mwita B. Joram kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa Mkandarasi wa ujenzi wa barabara. Mhandisi Mwita B. Joram kwa sasa ni mhandisi wa...
  3. N

    JamiiForums WATUMISHI WA TARURA MKOA WA TABORA KUFIKISHWA MAHAKAMANI

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Tabora ipo mbioni kuwafikisha Mahakamani watumishi wa TARURA Mkoa wa Tabora kwa tuhuma za kujihusishwa na vitendo vya rushwa. Kwa mujibu wa Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tabora Bw. Mussa Chaulo, Watumishi wa TARURA hao wanatuhumiwa...
Back
Top Bottom