Ilivoanza mwanzo hii hali ilinitokea lakin nikatumiaga program za forever living nikajiona kama nimepata nafuu ni karud ulingoni na nikawa naendelea na kazi lakn ilifika kipindi nikasema sihitaji tena kuzini so nilikaa miezi kama minne au 5 sijazini wala kupiga punyeto ila nikaja kupitiwa sijui...
Habari za Alasir ndugu wa jamii forum kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni msaada wa mawazo ama kama kuna mtu anaweza tatua tatizo langu itakua vyema na mwenyezi Mungu amjalie in shaa Allah
Mimi ni kijana wa miaka 29 binafsi nasumbuliwa na tatizo la kushindwa kusimamisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.