Recent content by Nifanye Nini

  1. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Nilipewa shinikizo kuomba ila Toka Mwanzo nilikuwa sipo interested kwani nilikuwa Nina miezi Mitatu Toka niache kazi yangu ya kwanza Kwa lengo la kujiajiri
  2. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Hakuna unachokijua mkuu. By the way nashukuru Kwa mchango wako
  3. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Mkuu wewe kweli ni kiazi customer care unalinganisha na credit officer ambaye anaingia mtaani kutafuta wadaiwa sugu wenye kaliba tofauti.
  4. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Sure mkuu ni jambo jepesi mtu kujaji ila kazi za kudai mikopo ni pasua kichwa pande zote una lawama Kwa raia na Kwa management. Just imagine unaenda kumfilisi mtu aliyepigwa stroke
  5. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Bado una safari ndefu sana mkuu you don't know about my life na Mimi sijui maisha yako. my rise and fall are nothing to you so don't try kuforce kuwaza kulinganana na mtazamo wako we have different experience
  6. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Haitakuwa siku ya kwanza Wala ya mwisho Mimi kulala njaa
  7. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Ngoja nikukumbushe mkuu ndio maana kwenye Sheria Kuna kitu kinaitwa termination of contact mtu kuacha kazi ni jambo la kawaida sana sababu Kuna reasons nyingi zinazomfanya mtu kuacha kazi. So ukipewa connection sharti uifanye for the rest of your life sababu unaogopa kuumiza hisia za aliyekupa...
  8. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Umeonyesha jinsi Gani ulivyo mweupe kichwani.? Mtu kukusaidia ndio Kuna mpa mamlaka ya kucontrol fikra zako na maamuzi Yako? Kwa vile naogopa kuharibu heshima ya Mzee ndio nifanye kazi ambayo I'm not interested je siku nikisababisha loss kutokana na kuchukia kazi nani Atakuwa accountable...
Back
Top Bottom