In the case of Arabic influence on Swahili language, there's no lending of words. Arabic shaped/influenced Swahili as a language up to 40%. That's the difference
Hakuna lugha inaitwa kibantu. Bantu is an ethnolinguistic grouping of about 400 African ethnic group. In Kenya and Tanzania they are the mojority. Sio lugha haswa!
That is called lending of words. Ndio maana in some places, television is called runinga wala sio televisheni. We all know the most acceptable swahili word for movie ni filamu wala sio hiyo muvi. These are lended words na hazina huhusiano wowote na chimbuko la lugha ya kiswahili
Kijana wa tandale, baadhi ya maneno kwenye lugha ya kiswahili (just like any other language) yako na zaidi ya maana moja. Karibu na salama ni baadhi tu ya mufano as you've outlined above.
Ndio, unawezaenda uarabuni ukaongea kiswahili na ueleweke.
Maneno kama habari na duka are all Arabic words. Habari (Khabar), karibu (qareeb), salama (salaam). I can give you so many examples
The fact that hiyo lugha is not 100% African it isn't native to Africans as you imply. Asengekuja mwarabu wewe sasa hivi ungekuwa unaongea kinyamwezi kama lugha yako rasmi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.