Recent content by nickson1987

  1. N

    Gari linakodishwa Dar es Salaam

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  2. N

    Gari linakodishwa Dar es Salaam

    Ok nimekusoma tutawasiliana
  3. N

    Gari linakodishwa Dar es Salaam

    Yeah kama Costa hesabu shillings ngapi hesabu
  4. N

    Gari linakodishwa Dar es Salaam

    Mimi ndio bosi mwenyewe naitumia kwa ajili ya ubber, ila zikitokea kwa safar ndefu naenda au kukodisha kuwendesha wageni bei ni nafuu
  5. N

    Gari linakodishwa Dar es Salaam

    Asante sana ila u never know what's a content
  6. N

    Gari linakodishwa Dar es Salaam

    Habari? Kama kuna mwenye kuhitaji gari la sherehe au kwa ajili kuwapeleka watoto na asubuhi wafanyakazi kuwatoa majumbani na kuwapeleka ofisini kama posta au Kariakoo. Tuwasiliane kwa namba 0686 055680
  7. N

    Mkataba wa pikipiki

    Million 2 na lki tatu na nusu
  8. N

    Mkataba wa pikipiki

    Mwengine ananiletea pikipiki mbovu hata kwa kazi haifai zaid ni lawama nimembia haifai zaid tutakuwa tunakesha garage tu halafu huku unahitaji hesabu yako
  9. N

    Mkataba wa pikipiki

    Ndgu zangu habar zenu mnaniambia njoo inbox nikiwatumia SMS hamnijibu mpo kimya au kwasababu Nina shida Leo mimi
  10. N

    Mkataba wa pikipiki

    Nakusiliza boss wangu mi nipo tayar
  11. N

    Mkataba wa pikipiki

    Naomben ndgu zang mnisaidie mkataba was pikipiki ndgu zang halafu nilikuwa naomba pia mnisaidie kunifungia GPRS track ofisi zao zipo magomen usalama utaniongezea mwezi mmoja wa deni hilo LA gprs
  12. N

    Mkataba wa pikipiki

    Watu wanafunga GPS track , that's all
  13. N

    Mkataba wa pikipiki

    Tatar nimekutafuta bro
  14. N

    Mkataba wa pikipiki

    Hiyo kukamatwa juu ya dereva bosi
  15. N

    Mkataba wa pikipiki

    Naitwa Nickson naishi dar es salaam maeneo ya tabata, Nina shida na pikipiki yaani niingie na mkataba na bosi atakaye ninunulia ntakuwa namlipa kwa wiki 70,000/= baada ya mwaka inakuwa yangu Napatikana kwa namba 0714 064767
Back
Top Bottom