Recent content by Nickson Lukas Mollel

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Du! kuna haja ya kuzungushia uzio kwenye vituo vya polisi, ili kama ni usiku geti linafungwa mtu akitaka huduma agonge geti au abonyeze kengele, then mmoja akija kufungua wengine wanakuwa standby mpaka huyo mtu/watu watakapoondoka na geti kufungwa, poleni familia, poleni jeshi la polisi.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kijana Anaswa Akimnajisi Bata Chumbani!

    Kazi za kuamini uchawi hayo ndio malipo yake..!!
Back
Top Bottom