Ninaomba msaada, hapa kwenye koo panauma kama nimekula kitu kimegoma kutoka, leo siku ya 3.
Nimehenda hospitali wamesena hakuna kitu, nimepewa dawa zinaitwa ZECUF. Pamoja na kutumia bado ninaumia tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.