Recent content by Ngwazity

  1. N

    JamiiForums Tanzania Advans Bank waita watu Kazini

    Naona unaxpress unachokifikiri sio? nimetoa taarifa tu cjakwambia nimeajiriwa ----- we.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Advans Bank waita watu Kazini

    nimetoa taarifa tu kwa waliofanya interview na sijawahi hata kuomba kazi hiyo Bank.. Kama nimekosea sorry lkn lengo ni kuwapa pole waliokosa then songa mbele..!! Mwasheli na dogo janja someni vizuri co mnakurupuka tu alaaaaaaaa.....!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Advans bank

    watu wameitwa kazini leo kwa wale waliofanya interview j'moc na j4.. check the other alternative kama hujaitwa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Advans Bank waita watu Kazini

    Kwa wale waliofanya interview written cku ya j'moc then wakaitwa kwenye Oral j'4 k'koo jamaa wameanza kufanya placement tayar ktk nafac za Client officer na Cashier na leo saa nane wameitwa ofisin na barua za Serikali za mitaa... Kama hujaitwa POLE
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa

    nyie wote hovyooo.. Kawaambie dada zako na shangazi zako huko..
Back
Top Bottom