After 6 months, leo ndio unarespond?😀
Sijawahi badili ID, ww utakua una wazimu…
Nibadili ID kisa mpuuzi mmoja anayeitwa “mokiti”…hahaha Unachekesha 🤣
ww utakua umenimiss tu 🤪
Ndo ukome ku-copy & paste kwa kitu ambacho huwezi kukitetea.
ww si ndio umetoa huko?
Nionyeshe hilo neno “is” tu..
Hujui lugha yake ya asili
halafu wajikuta much know…
TULIZA MSHONO 😀.
Nikikwambia uniletee matini yake kwa lugha ya kiarabu halafu unionyeshe hiyo “is” utaweza?
Kitu ambacho hujui ni kwamba, mwingine angeweza fasiri na kuweka neno “was” badala ya “is” kwenye hiyo hiyo hadith.
Na kuna hadithi nyingi tu wamefasiri kwa kutumia “was”. Nikisema niziweke hapa tutajaza...
Basi usiweke dhana, ukadhani ni kama kiti chako unachokalia ghetto .
Quran 2:255-“…………..His throne (Kursi) extends over the heavens and the earth and He feels no fatigue in guarding and preserving them. And He is the most High, the Most Great “
Hahaha! naona sasa sindano imepenya masikioni 📌📌
Ushakubali kuwa ni past tense tayari ushamaliza mjadala.😀
Nishakupa aya kuwa, kiti cha enzi hivi sasa kinabebwa na malaika. Hapo mjadala tayari ushaisha.🙌
SASA WEWE NDIO ULITAKIWA KULETA AYA KUWA BADO KIPO JUU YA MAJI NA SIO KULAZIMISHA TU BILA...
Leta ushahidi wa hichi unachosema 👆
Ninachojua mimi ni hiki👇
Quran 69:17-“Na Malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba kiti cha enzi cha Mola wako Mlezi”
Hapo malaika wanabeba kiti cha enzi 👆
HAYA WEWE LETA USHAHIDI WA HAYO MANENO YAKO KUWA ALLAH NDIO...
Mbona unarudiarudia na kulazimishia hadithi inayoonyesha hicho unachodai ni kitu kilichopita-past tense.
Hayo maneno yote niliyo-bold kwenye hiyo hadithi ulotoa yanaonyesha hicho unachodai ni past tense.
Nenda kwanza kajifunze nyakati (tenses).
Hujui tofauti kati ya “past tense” and “present...
Duuh, kumbe najadiliana na punguani a.k.a chizi.😏
Wapi niliposema Allah anabebwa???
Aya niliyotoa; Quran 40:7
Inaonyesha, arshi ndio inayobebwa na malaika na wala sio Allah anabebwa.
Halafu, mm nimekupa ushahidi (Quran 40:7) kuwa arshi ya Allah hivi sasa inabebwa na malaika, tukio ambalo ni...
Aya ulotoa, inasema, “ wakaana arshihu a’lal maai”…Na arshi yake ilikua juu ya maji”.
Hii inaonyesha ni “past tense “.
By that time, before the creation of the heaven & earth and everything btn them kweli ilikua juu ya maji.
Sasa leta aya inayosema, arshi ya Allah bado mpaka sasa ipo juu ya maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.