Recent content by ng'wanhulugu

  1. N

    JamiiForums Tanzania List ya shule za bweni zenye ada nafuu Tanzania

    Kahunda sekondari, ni shule ya bweni kwa wote waschana na wavulana. Ni shule ya private inayomilikiwa na kanisa la AICT, iko Sengerema-Mwanza. Ada yao ni 900,000/= iko kwenye mazingira mazuri ya kujifunzia. Karibu sana!
Back
Top Bottom