wakuu mwenye nyimbo hiz pliiz naomba nimezitafuta sana
kaka yuko town by university corner
Nataka by wandago family ft Dolo
Nimekufananisha by Top T matanguliza shukrani wakuu
mwenye nyimbo hiz jaman kaka yuko town by UVC ,Kanizimia by K basil ,Nataka by Wandago family.nimezitafuta sana mwenye nazo pliiz 👏 natanguliza shukran
wakuu natafuta nyimbo zifuatazo mwenye nazo pliis azipandishe humu
K basil - kanizimia
Top T - Nimekufananisha
Wandago ft G solo - Nataka
Univercity corner - Kaka yuko town
nimezitafuta kwa muda mrefu sana natanguliza shukrani🙏🙏
mwenye nyimbo ya k basil inaitwa kanizimia na ya uvc kaka yuko town bila kusahau ile ya wandago waliomshirikisha G solo ngoma inaitwa nataka mwenye hizo pliiz aziweke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.