IPOTAMATIKA
“Mbona Mido na Suma siwaoni? Na Godi, Fure nao wako wapi?”
II
“Kocha labda walijua leo hauji ndo maana wakaamua kula kobisi” Maestro alitoa jibu ambalo halikumridhisha kocha wake. “Sasa madogo mnachofanya ni mambo kiduwanzi, yaani haiwezekani siku zibaki chache tuanze boli na mnajua...