Recent content by Nguvu Kazi

  1. N

    BOOM LA PILI 2nd SEMESTER.

    Jamaa hata mm nina njaa ila bas tu najifariji
  2. N

    Mshikamano UDSM kuonekana tena wiki hii

    Hatimaye nguvu, umoja na ushirikiano wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm utarudi rasmi baada ya kukumbwa na tatizo moja (common grievances) Hadi sasa majina ya malipo ya fedha ya kujikimu kwa robo ya nne hayajatoka huku vilio vya NJAA NJAAA NJAA vikitamalaki Mabibo hostel na Main Campus! Eneo...
  3. N

    BOOM LA PILI 2nd SEMESTER.

    HATIMAYE MAJINA YABANDIKWA: baada ya kimbembe cha kucheleweshwa majina ya kusign kwa ajili ya fedha ya kujikimu wanafunzi katika chuo kikuu cha dar es salaam Leo hii majina yamebandikwa ikiwa ni hatua ya kupelekea kusign ili kuingiziwa fedha hizo. Majina hayo yaliyo bandikwa ni ya wanafunzi...
Back
Top Bottom