Recent content by ngumi tofari

  1. N

    Kwa nini wanasheria wakuu wa Tanzania wanakuwa wapenda ufisadi?

    Wamechakachua wenyewe Zitto na Kafulila. :flypig: IPTL inapaa hiyoooo.
  2. N

    Kwa nini wanasheria wakuu wa Tanzania wanakuwa wapenda ufisadi?

    Mahakama gani imewahukumu kuwa ni wezi? hii ya JF? Tuendelee kupoteza muda tu humu kwa kuchit chat. :msela: Sikuhizi kila mtu, ni polisi na mahakama yeye mwenyewe.
  3. N

    Waking'oka na yeye ang'oke? Kwanini hawaogopi "kujichotoea"

    Mngependa iwe hivyo lakini hata hiyo hatua ya watu kung'oka haiwezi kutokea! Wang'oke kwa sababu gani? kwasababu IPTL wamelipwa haki yao?
  4. N

    Kwa nini wanasheria wakuu wa Tanzania wanakuwa wapenda ufisadi?

    Kiuzi kingine chenye kibwagizo cha escrow! kwi kwi kwi kwi kwi! mwingine achape kingine tafadhari. haibadirishi ukweli kuwa fedha za escrow ni mali ya IPTL.
  5. N

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Hujui historia ya IPTL! Kaa kimya, Huwezi kuongelea mwanzo wa IPTL bila kuitaja south-south commission. Zuzu peke yako siyo sisi watanzania. Inawahusu sababu ni malipo yaliyotoka kwao wakalipwa IPTL kutokana na umeme waliotumia.
  6. N

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Unabisha unauliza? kama mpaka leo hujui tukusaidiaje sasa? Ukipunguza uvivu na kuanza kutafuta utapata majibu.,
  7. N

    Anna Tibaijuka umewaponza wenzako nimeamini Mwanamke siyo mtu wa kupiga nae deal

    Siasa za Tanzania sasa hatari Na Mwandishi Wetu SIASA za Tanzania sasa zimegeuzwa mchezo mchafu, Taifa Imara limebaini. Hilo limejidhihirisha baada ya hivi karibuni siasa za kistaarabu kuwekwa kando na kuingizwa zile za fitina na kuchafuana miongoni mwa wanasiasa wanaowania madaraka ya urais...
  8. N

    Sakata la escrow na hadithi ya mtoto aliyejisaidia kwenye nguo.

    Another IPTL thread, hoja zilezile kibwagizo tu ndio kinabadirika. Majibu yaleyale, IPTL ndiye mmliki halali wa fedha za escrow.
  9. N

    Zitto - watuhumiwa Escrow kuhojiwa kwa siri

    Umoja wa Ulaya warejea ukoloni mamboleo ¬ Wasimamisha misaada ya maendeleo ¬ Wasaliti washangilia ¬ Serikali yatakiwa kuyashitaki makampuni na mabenki UMOJA wa Ulaya kwa pamoja na baadhi ya nchi wanachama wake moja moja zimeamua kusitisha au kusimamisha kwa muda utoaji misaada kwa Tanzania kwa...
  10. N

    Maswi: Zitto na Kafulila ni washenz* na wala rushwa...! Asisitiza Kafulila ni 'tumbili'

    Haya yatabaki kuwa ni mawazo yako lakini hakuna ufisadi kwenye escrow account, hatuwezi kuwa na mawazo sawa! Matatizo ya watanzania Mil 45 hayawezi kuisha kwa kuwapokonya IPTL haki yao, na hayawezi kuisha kabisa kwa kuligeuza hili jukwaa kituo cha polisi na mahakama ya kuwaita watu wezi. Subiri...
  11. N

    Zitto - watuhumiwa Escrow kuhojiwa kwa siri

    Akizungumza na MTANZANIA jana, Zitto alisema hadi sasa hatua za uchunguzi kuhusu sakata hilo linakaribia kukamilika na ripoti inatarajiwa kuwasilishwa bungeni Novemba 4, mwaka huu. "Hadi sasa suala hili linakwenda vizuri na ninachowaomba Watanzania wawe na subira kwani baada ya ripoti ya...
  12. N

    Zitto - watuhumiwa Escrow kuhojiwa kwa siri

    we bado upo wenzako washapoteana huko wanaanza kuandaa hoja kuwa ripoti imechakachuliwa. Mwizi Kafulila na Zitto wamechukua hela za MKONO wameshindwa kudeliver.
  13. N

    Zitto - watuhumiwa Escrow kuhojiwa kwa siri

    Ndugai aliitaka PAC kuifanyia uchambuzi na kutoa mapendekezo. Hata hivyo, aliitaka ihakikishe inajikita katika kutumia ushauri uliotolewa na CAG na Takukuru katika kutoa mapendekezo kwa sababu waliwahoji wahusika wote."Baada ya kukamilisha kazi, taarifa irudi kwangu ili kujiridhisha kabla ya...
  14. N

    Maswi: Zitto na Kafulila ni washenz* na wala rushwa...! Asisitiza Kafulila ni 'tumbili'

    Upo kumbe team Kafulila ( tumbiri )? ushapata lunch lakini au unakesha tu humu kumpigania tumbiri! Wewe umeanza lini mwenzangu kujitambua maana minajua ulishajitoa ufahamu siku nyingi sana. Tuendelee kubishana au kutukanana......
  15. N

    Maswi: Zitto na Kafulila ni washenz* na wala rushwa...! Asisitiza Kafulila ni 'tumbili'

    tumbiri atamuhoji nani? Unakurupuka? Anapumulia mashine tumbiri wako, baada ya ripoti kutoka tarehe 26/11, anaumbuka kwa kubebeshwa viuhar0 vya Zitto.
Back
Top Bottom