Recent content by Ngulyatimbaya

  1. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Ameandika James Gayo: Serikali inataka waandishi waliosomea uandishi wa habari ili iweje?

    Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili Deutschwelle ana Diploma ya Ualimu Butimba.Akaanzia Redio Rwanda, baadae akavutwa DW kwa umahiri wa utangazaji na maswali chokonozi.Sifa hizo ndo zimemfanya awe Mkuu wa kitengo! Cha ziada ni kuwa huwa anaalikwa kwenda kufundisha shule za journalism ngazi ya...
  2. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hakuna Mjumbe aliyeshiriki kikao cha Kamati Kuu CCM, Wote wamesikiliza na kuangalia tu kama tamthilia zingine

    Kwa hiyo wakavaa na magamba kabisa kwamba wanaenda kubadili katiba kwenye vibanda umiza.Ukiwa CCM jipige kifua na useme kwa msisitizo:MIMI NI NG'OMBE!
  3. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

    Kuna mahali alitangaza kugombea?
  4. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

    Hoja ya kipumbavu sana hii!
  5. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amejenga jumla ya VETA mpya 94 na 29 alizozikuta amezikarabati

    Niko hapa Dar es Salaam,niambie kimejengwa wapi na kinaitwaje! Maana kwa hesabu zako ni kuwa angalau kila mkoa umepata vyuo vitatu!
  6. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa tena Mahakama ya Kisutu, hadi Julai 30, 2025

    Idd Amin Dada kazi anayo,huku Slow kampiga barua, mahakamani mabalozi macho na masikio hayapitwi na neno la kupeleka kwa wachangia bakuli.Hivi hawezi kumwamrisha Manywele awafanyie yale walifanyiwa Mwangi na Agatha? Au awatimue kama Martha Karua? Au niache niache ujinga🤣
  7. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi, picha ya kumbukumbu ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Rais Samia awamu ya Kwanza kilichoketi leo

    Una undugu na Sufiani au mlirogwa na mchawi yuleyul? Kwamba umetokwa machozi ukiwa wapi,mbele ya watoto na mkeo....unalilia cabinet ya kina Mchengerwa.Milembe case!
  8. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Kama Kada Mwandamizi na Mwanadiplomasia nguli anaweza kumkosoa boss wake hadharani hivi, basi Rais amezungukwa na genge hatari sana la kisiasa

    Hivi mwanawake, Wa Mzanzibar na Muislamu akifanya madudu hatakiwi kusemwa yeye na madudu yake?
  9. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole naye atatungiwa msamiati kama alivyotungiwa Gwajima?

    Kama akili huna utajuaje who is to you!
  10. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Andiko la Polepole halijazungumzia ukanda,jinsia na ukabila.Amezungumzia ukosefu wa haki,amani na uongozi thabiti.Hayo ya kwako umeyatoa wapi? Ad hominem fallacy hutumika kama defensive mechanism baada ya kukosa au kukwepa majibu ya hoja.Katika andiko lako unamshambulia mleta hoja badala ya...
  11. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

    Mayalla unakiri Kuna uhuni ndani ya chama chenu,Polepole ameukabiri kwa kukosoa kwa lugha ngumu na hata kujiondoa kwenye genge la wahuni.Wewe binafsi umeukabili kwa kiwango kipi huo uhuni?
  12. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo jitahidi hii utakayopata ya kiinua mgongo uitumie vizuri kwakuwa haurudi Bungeni umeumiza sana watu

    Huyu mpenda sifa atawaumiza mtamkumbuka hata huyo kibaka mwingine Gambo.
  13. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

    Wakati huo unaandika habari za Lissu huyohuyo.Ng'ombe wa Samia huwa hawajui tofauti ya safari ya malishoni na machinjioni.Wao Bora mswagaji yuko nyuma yao!
  14. Ngulyatimbaya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Kombo: Natoa onyo kwa vijana wanaomdhihaki Rais wetu

    Huko Kenya hata Nuru Okanga hatakuwa na muda wa kumjibu huyu ngedere!
Back
Top Bottom